kutoa elimu ya uhifadhi mazingira na ulinzi wa vyanzo vya maji na kutoa elimu ya mazingira na umuhimu wa kupanda miti ilikuhifadhi mazingira yetu hivyo tunatoa elimu kwa jamii kwa njia ya mikutano, matamasha mashuleni,vyuoni.n.k
Latest Updates
THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS added a News update.
IRINGA INVAROMENTAL INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE NA WAKURUGENZI WA INVAYA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WOTE WA INVAYA!
January 1, 2012
THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS created a Team page.
December 11, 2011
THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS added a News update.
Ngo ya ulinzi wamazingira na vyanzo vyamaji inawajulisha Kuwa msimu wakupanda miti umekaribia kwakanda yakusini nyanda zajuu Iringa namikoa jirani tunaomba tushirikiane kupanda miti .
October 19, 2011
THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS created a Projects page.
Tresura NGO The Iringa environmental protectors IEP is security that guard evironmental and resource of nature water also provision education,reseach, whow to protection trees ,resource nature water and to avoiding environnmental interference such as burning,land pollution air ,to educat people on impotrtance of... Read more
October 15, 2011
THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS joined Envaya.
October 4, 2011
Sectors
Location
gangilonga kichangani, Iringa, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations