Mwenyekiti wa kijiji cha ITABALI akifungua mkutano wa hadhara uliotishwa na ICISO, kwa ufadhili wa FCS kuzungumzia ufuatiliaji wa matumizi ya raslimali za umma (PETS) na uridhishwaji wa upatikanaji wa huduma za afya (PSDA) katika kipengele cha afya ya uzazi na mtoto.
20 Ukuboza, 2016