Wananchi wa kijiji cha ILULA SOKONI walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.
20 Desemba, 2016