Envaya

HakiElimu

Habari

Haki Elimu HakiElimu

Tunaungana na wadau wote wa tasnia ya habari nchini kuomboleza kifo cha Mhariri wa gazeti la Jamboleo, Ndugu... http://t.co/0g73iGS1

Haki Elimu HakiElimu

@pbcloudsfm wanafunzi wanaenda shule hawajaoga kasheshe jumatatu siku ya usafi@barbarahassan #majidsm

Haki Elimu HakiElimu

@mammarison kushiriki katika vikao mbalimbali vya maendeleo ya shule ili kujadili mikakati ya kuinua taaluma hapo #okoaelimuarusha

Haki Elimu HakiElimu

OKOA ELIMU : Marafiki wa Elimu Arusha Mpo ? Harakati za ukombozi zinahitajika hapa... http://t.co/dM6aYEOf

Haki Elimu HakiElimu

Jitihada zinahitajika kuinyanyua shule hii, marafiki wa elimu Arusha mko wapi? http://t.co/8zqN2lMI

Haki Elimu HakiElimu

Haya Bajeti yetu imesomwa sasa tupe maoni yako

Haki Elimu HakiElimu

Maisha ya Gheto na Athari zake kwa wanafunzi wa kike... http://t.co/IgYVjRQD

Haki Elimu HakiElimu

Bajeti ya elimu izingatie kuondoa kero kama hizi... http://t.co/T2hJnKvp

Watoto wakosa vipindi darasani kwa uhaba wa maji

IMG_0780.JPG
watoto ambao wanasoma shule ya Msingi Iwalanje kata ya Ijombe wilaya ya Mbeya wakitoka kuchota maji wakati wenzao wakiwa katika vipindi madarasani leo

IMG_0781.JPG
Picha na blog ys Fransis Godwin



Haki Elimu HakiElimu

@DocFaustine Looking forward to hearing the changes , we hope for the best