Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Usikose kutizama kipindi cha TAFAKARI kutoka Shirika la HakiELimu kitakachorushwa katika Televisheni ya ITV siku ya Ijumaa saa moja Usiku ambapo tutaangazia Mtizamo wa Jamii kuhusu wanafunzi wanaopanga nyumba mitaani maarufu kama Gheto. Tizama kionjo hapa http://bit.ly/MEKfYC

Haki Elimu HakiElimu

Wiki hii Ijumaa saa moja kamili usiku HakiElimu kupitia @ITVTANZANIA tutawaletea kipindi kifuatacho http://t.co/RsJ5bGJb

Gheto 2

Kipindi cha Maisha ya Wanafunzi wanaopanga mitaani maarufu kama Ghetto kitaendelea wiki hii ambapo tutatangalia Jamii inasemaje kuhusu wanafunzi hawa.
Views: 4
0 ratings
Time: 01:07 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

Jamii inasemaje kuhusu wanafunzi wanaopanga mitaaani (Gheto) usikose kutizama kipindi hiki http://t.co/lgvsxzFt kupitia @ITVTANZANIA

large.jpg

Shindano la Insha: Katiba Iseme Ni Kuhusu Elimu

Haki Elimu HakiElimu

@mglyimo Shukrani kwa taarifa, tunalifanyia kazi.

Haki Elimu HakiElimu

AHADI ZA VIONGOZI WETU: Walimu wa Sekondari , Je ahadi ya Serikali iliyotolewa na Naibu Waziri wa Elimu Philipo... http://t.co/UkToBPMx

Haki Elimu HakiElimu

Kwa picha mbalimbali zinazoonyesha Taswira ya Elimu nchini tembelea mtandao wetu wa http://t.co/4V1BXFNT http://t.co/ivxWjZqQ

Haki Elimu HakiElimu

Usichezee muda wa masomo chezea muda wa mapumziko #MethaliBurudani