Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Muonekano wa picha zinazo onyesha matofali ya INTEROCK MACHINES zenye ujenzi wa bei nafuu sana ambazo kampuni ya GOLA FOUNDATION imefanikiwa kuwanazo na kuwekeza kwa baadhi maeneo mbali mbali.
Baadhi ya siku za weekend mkurugenzi wa taasisi ya GOLAFOUNDATION na IT manager hupendelea kwenda kupumzika DULUTI FOREST CLUB iliyopo Arumeru mkoani Arusha,huku wakifurahia utulivu na madhari nzuri inayo patikana katika eneo hilo.