Fungua
GOLA FOUNDATION

GOLA FOUNDATION

Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Ziara ya mkurugenzi wa Taasisi ya GOLAFOUNDATION pamoja na IT MANAGERĀ  wake, ilio fanyika september 19 2016 mkoani GEITA wilaya ya MBOGWE katika kijiji cha SHENDA,ambapo walikwenda kujifunza mambo mbalimbaili ikiwa ni pamoja na usagaji wa mawe ya dhahabu