Injira
Victory Youth Support Organization

Victory Youth Support Organization

morogoro, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

mr freddy ngatigwa who is the director of viyoso at the workshop helping church leader to understand the impact of hiv and the causes of poverty in TANZANIA. this was at sanga sanga retreat centre in africa inland church..Tanzania.

viyoso yafanya mafunzo ya ukimwi kwa vijana

Tarehe 13 June 2014 shirika la vijana Viyoso la mjini Morogoro lilitembele na kuwaona watoto yatima wano lelewa katika kituo cha watoto cha mgolole Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza kwa niaba ya kituo Mlezi mkuu Sista Yasinta aliwashukuru vijana hao kwa moyo wa lio uonyesha na kuitaka jamii kuiga mfano wa shirika hilo la vijana

Akiongezea sista Yasinta alisema "watoto hawa wanafarijika sana wanapowaona mnawatembelea kwani jukumu hili si la mgolole tu pali ni Jamii yote ya Morogoro"

Mkurugenzi wa Shirika la vijana Viyoso Kutoka Morogoro Bw. Freddy Ng'atigwa aliyebeba mtoto akiwa na katibu wake Bi. Hilda Mwiligwa, Mlezi Mkuu wa kituo cha watoto yatima Mgolole Sista Yasista na asisa Mipango wa Viyoso Bw. Chacha kwenye picha ya pamoja kituoni Mgolole

Vijana wa Viyoso Hawakwenda mikono mitupu kwa watoto pale walitoa vitu mbalimbali kadili walivyo jaliwa, pichani katibu mkuu na wanachama wa viyoso wakitoa vitu kwa watoto

Mlezi mkuu wa kituo cha watoto yatima mgolole sista Yasinta akiwa pamoja na vijana kutoka viyoso walipo watembelea kuwaona

Katibu Mkuu wa Shirika la Viyoso akiwa na watoto yatima kituoni Mgolole

Baadhi ya vijana wa viyoso wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto walipo watembelea kituoni Mgolole

viyoso yatembelea kituo cha watoto yatima Mgolole