Envaya

large.jpg

kikundi cha ujasiliamali kikiwa na bidhaa yao kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa viyoso bwn freddy

large.jpg

vijana wakiwa katika mafunzo ya computer

large.jpg

kikundi cha ujasiliamali kutoka kata ya u/taifa kilchoudwa baada ya mafunzo

large.jpg

baadhi ya vijana wa manispaa ya morogoro wa kipatiwa mafunzo ya ujasiliamali

shirika limeandika mradi wa PETS katika kata za bungu kolelo na kasanga ndani ya tarafa ya mvua wilaya ya morogoro vijijini

shirika la viyoso limeendesha mafunzo kwa vijana ndani ya manispaa na kuwajengea uwezo vijana wa kujitambua na kutambua fulsa zilizopo hili wajiletee maendeleo

shirika la viyoso limetoa michango ya ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ndani ya kata ya uwanja wa taifa - morogoro manispaa.

shirika la viyoso linaendesha mafunzo ya computer,uhazili na hotel management kwa vijana wa morogoro na miji ya karibu