Fungua
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

Dar es Salaam, Tanzania

Respondent: WINGS ENVIRONMENT AND EDUCATION TRANSFOMATION UNITY
Time Submitted: 2 Machi, 2012 12:27 EAT

Utangulizi

WINGS ENVIRONMENT AND EDUCATION TRANSFOMATION UNITY
WEETU
UFUATILIAJI WA RASILIMALI ZA UMMA (PETS)
FCS/MG/10/208
Tarehe: April 1,2011 hadi Juni 30,2011Kipindi cha Robo mwaka: 1
MODESTI JOSEPH MKUDE
P.O.BOX 6692
MOROGORO - TUSHIKAMANE

Maelezo ya Mradi

Utawala Bora na Uwajibikaji
Mradi unalenga kuiwezesha jamii/ wanachi kuimarisha misingi ya utawala bora na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma kwa kujenga uwezo wa kufuatilia fedha na rasilimali za umma na pia kufanya zoezi la ufuatiliaji wa matumizi hayo ili kusimamia na kuwawajibisha watendaji katika sekta ya elimu Wilayani Mvomero na Morogoro Vijijini na kuongeza ufanisi na ubora wa sekta kwa ujumla.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
MorogoroMvomero naDoma,Melela,Sewe,Mtipule,
Morogorgo ( V)Mlali,Mzumbe,Mela,Melela,
Kisemu,MkuyuniMongwe,Manza,
Langali,Bunduki,Yowe,Mifulu,
Tchenzema,Masanze.Ubiri,
Kikeo,Kibati,Lubungo,Bumu,
Maskati,Tawa,Mhonda,Kisala
Mvomero,KangaLusanga,Konde
Hembeti,Mvuha,Diongoya,Kunke
Mtibwa,Mhonda,Turiani,Mlaguzi
Diongoya,Mlumbiro,Kiroka
Sungaji,Kiroka.Mtamba,Uponda
Milawilila,Gonja
Kitungwa,Ndole
Kilegezi,Changa
Kibuko,Lungo,
Kanga,Dihinda
Diovuva,Maskati
Kinda,Langali,
Tengero,Pinde
Maguruwe,Luale
Bunduki,Vinile
Masalawe,Kibati
Mgudeni,
Mkuyuni,
Kisimagulu,
Mvomero,
Hembeti.4000
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake7002000
Wanaume6002000
Jumla13004000

Shughuli na Matokeo ya Mradi

Zoezi la Ufuatiliaji wa Awali limefanyika na kufanikiwa katika kata 22 za Wilaya ya Mvomero na Morogoro (V) na matokeo yake kuwekwa bayana.
Kuunda timu ya kufanya mafunzo ya utafiti wa PETS.Washiriki 50 walipatiwa mafunzo na kushiriki katika kufanya PETS na walipatiwa toka eneo la Mradi.
Masuala yaliyoshughulikiwa wakati wa utekelezaji ni Washiriki walipata mafunzo na walitengeneza dodoso za kutumia wakati wa kufanya ufuatiliaji,mafunzo yalifanyika Morogoro Manispaa mwezi wa sita.
Katika shughuli hii hakuna tofauti zozote zilizojitokeza.
Usafiri Wajumbe 500,000/=
Chakula na Vinywaji kwa Washiriki ni 2,100,000/-
Malazi na Posho ya Kujikimu 5,000,000/-
Honoraria kwa wawezeshaji 1,600,000/-
Malipo Ukumbi 800,000/-
Note Book 50,000/-
Markpen 24,000/-
Maskin tape 8,800/-
Posho ya Mratibu 600,000/-
Posho ya Mtunza Fedha 600,000/-
Pango la Ofisi 450,000/-
Usafiri kwa shughuli za uendeshaji 699,000/-
Mawasiliano 75,000/-
Jumla kuu ni sh.12,506,800/=

Mafanikio au Matunda ya Mradi

Mafunzo yalifanyika Morogoro Manispaa na watafiti 50 walipatiwa Mafunzo.
Asilimia 100 ya wajumbe waliopewa mafunzo wameweza kutengeneza dodoso za kuwawezesha kufanya ufuatiliaji wa PETS.

Wajumbe waliopewa mafunzo walikuwa hawajui mbinu za kumuingilia mtu na kuongea naye lakini walipopata mafunzo haya walielewa vizuri na wakaenda kufanyia kazi.

Tuliweza kufanya Igizo la jinsi ya kufanya mahojiano na wajumbe walifanya vizuri kabisa.
Uwezo wa wajumbe katika kuhoji maswali umeongezeka na hata sehemu zile walizotoka wameweza kuhojiwa sana.kuhusu kufanya dodoso.
Wajumbe wengi walikuwa hawajawi kufanya utafiti na mbinu za kutumia katika kukusanya hizo data,yani walikuwa hawajawahi kujengewa uwezo wa kuthubutu kuhoji na hadi mtu akakupa taarifa zake bila kumuudhi wala ugomvi wa aina yoyote.

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Wananchi wakijengewa uwezo wanaweza kufanya utafiti uliokuwa mzuri kabisa.
Ufuatiliaji wa PETS unaweza kufanywa na wananchi wa kawaida kabisa ila pale watakapojengewa uwezo tu.

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
MawasilianoBaadhi ya wajumbe ilikuwa vigumu kuwapata kutokana na mawasiliano waliyotuachia hivyo ilitulazimu kutumia vijiji jirani ili kuwafikishia ujumbe.

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Watendaji wa kata,waratibu elimu kata na Watendaji wa VijijiKutusaidia kufikisha ujumbe kwa wajumbe ambao walikuwa wanahitajika kwenye mafunzo na tukashindwa kuwapata kwa namba zao walizotuachia.
Mashirika mengine yasiyo ya Kiserikali yanayofanya kazi katika Mkoa wa MorogoroWalitusaidia kupata wawezeshaji wa Semina hii.

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Kufanya PETS katika Sekta ya Elimu katika Wilaya mbili za Mkoa wa Morogoro katika kata 22januariFebruMachi

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Washiriki wa mafunzo ni 50 kutoka kata 22

Matukio Mliyoyahudhuria

(Hakuna jibu)

Viambatanisho

(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti