Respondent: | Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization |
---|---|
Time Submitted: | 28 Machi, 2011 12:49 EAT |
Utangulizi
MUWWE WOMEN /YOUTH PORVETY REDUCTION ORGANIZASION
MUWOYOPORO -NGO
KUJENGEA UWEZO VIONGOZI
FCS/RSG/1/10/016
Tarehe: 11/3/2011 - 17/3/2011 | Kipindi cha Robo mwaka: MIEZI 3 |
DEOGRATIAS B. RWECHUNGURA
S.L.P 1512
MUSOMA, MARA
S.L.P 1512
MUSOMA, MARA
Maelezo ya Mradi
Sera
RIPOTI YA MRADI
Shughuli; mafunzo yamefanyika kwa viongozi 20 wa asasi kama yalivyopangwa kutekelezwa katika mkataba. mafunzo yamewaendeleza na kuwajengea uwezo viogozi 20 kwa kuwawezesha kumudu na kutekeleza wajibu wao. mafunzo haya yamefanyika kama ifuatavyo hapa chini tangu tarehe 11/3/2011 - 17/3/2011
(a) Kanuni na miongozo ya fedha
(b) Usimamizi wa fedha
(c) Kubuni na kuandaa maandiko ya mradi
(d) Utawala bora na uandaaji mipango mikakati
(e) Uendelezaji na usimamizi wa asasi
(f) Mafunzo haya ymesimamiwa na wawezeshaji wanne (wa kiume 2, wakike 2) pamoja na waudumu 2 wa huduma kwenye mafunzo
GHARAMA ZILIZOTUMIKA KWENYE MAFUNZO YA KUJENGEA UWEZO VIONGOZI 20
1. Tarehe 11/3/2011 - Kanuni na miongozo ya fedha gharama Tshs. 797,050/=
2. Tarehe 14/3/2011 - usimamizi wa fedha gharama Tshs. 797,050/=
3. Tarehe 15/3/2011 - kubuni na kuandaa maandiko ya mradi Tshs. 797,050/=
4. Tarehe 16/3/2011 - utawala bora uandaaji mipango mikakati Tshs. 797,050/=
5. Tarehe 17/3/2011 - uandaaji n ausimamizi wa asasi gharama Tshs. 797,050/=
JUMLA Tshs. 3865250/=
MANUNUZI VIFAA VYA OFISI
Ununuzi wa laptop ya Mkurugenzi Tshs 850,925/=
Ununuzi wa viti 5 vya plastic vya ofisi Tshs 83,825/=
TATHIMINI NA UFUATILIAJI Tshs 200,000/=
JUMLA KUU Tshs 5,000,000/=
Ruzuku ilichelewa kutufikia, mradi ulitakiwa kuanza mapema tangu tarehe 1/1/2011 hadi tarehe 31/3/2011 ndio maana mafunzo yamefanyika mfululizo ndani ya siku 5 kama ilivyo kwenye mkataba.
Matokeo: Mafunzo ya kujengea uwezo viongozi 20 wa asasi yameleta uelewa na kuwa ufanisi katika utekelzaji,kusimamia na kubuni miradi ili kuboresha na kuwafikia walengwa ambao ni jamii
Mafanikio: Viongozi 20 wa asasi wamepata mafanikio kwa kuthaminishwa kwa kujengewa uwezo katika kutoa huduma kwa jamii, kuwafanya wawajibike kuibua na kubuni miradi endelevu.
Changamoto: Viongozi kutopatiwa mafunzo ya mara kwa mara, pia kutopata semina za pamoja na asasi na taasisi za serikali na kutopata uwezesho au ruzuku yenye kukidhi hitaji
Mahusiano: Mafunzo walioyapata viongozi yamewajengea uwezo na kuwapatia mahusiano mazuri kati yao na asasi nyingine, jamii na serikali. Pia wamepata ujasili wa kuwa na ukubali wa kurekebishwa panapobidi, kuondoa ubinafsi na ubaguzi wa kijinsia.
Mipango: Wana asasi wamekubaliana kuwa mipango endelevu ili kuzidisha kubuni miradi endelevu kwa utekelezaji wa huduma za jamii.
Walengwa: Viongozi wa asasi kuwa na umoja, uadilifu kwa kushirikiana na jamii na mshirika ya umma na asasi ya serikali ili kufikia ufanisi bora kwa kuhudumia jamii ambao ndio walengwa haswa.
Nawasilisha
Deogratias B. Rwechungura
Mratibu
MUWOYOPORO - NGO
Musoma - Mara

Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Mara | Musoma | Kamunyonge | Uwanja wa mpira | 20 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 10 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 10 | (Hakuna jibu) |
Jumla | 20 | (Hakuna jibu) |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
Mafunzo yamefanyika kwa viongozi 20 yameleta uelewa na kuwa na ufanisi katika utekelezaji
Mafunzo yaliyofanyika kama ilivyopangwa kwenye mkataba, kujua kanuni na miongozo ya fedha, usimamizi wa fedha, kubuni na kuandaa maandiko ya miradi, utawala bora na mipango mikakati, uendeshaji wa asasi
Viongozi 20 asasi wamepata mafanikio kwa kuwajibika na kuibua miradi endelevu.
Mafunzo yamemaliza tofauti ya viongozi
Mfunzo ya kujengea viongozi 20 pamoja na wawezeshaji 4 na wahudumu 2 gharama zilizotumika Tshs. 3,865250/=
Ununuzi wa laptop Tshs. 850,925/=, ununuzi wa viti 5 plastic Tshs83,825/=
Tathimini na ufuatiliaji Tshs. 200,000/=
JUMLA KUU Tshs. 5,000.000/=
Ununuzi wa laptop Tshs. 850,925/=, ununuzi wa viti 5 plastic Tshs83,825/=
Tathimini na ufuatiliaji Tshs. 200,000/=
JUMLA KUU Tshs. 5,000.000/=
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Viongozi wamepata elimu ya kutosha, na kuwa mafanikio kwa kutoa huduma kwa jamii
Viongozi kuwa na kumbukumbu za hesabu pamoja na kuwa uandaaji wa miradi endelevu
Viongozi kuondoa tofauti na kuwa na umoja kwa kushirikiana
Hakuna
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Kuwa na miongozo ya fedha |
Kuwa na usimamizi mzuri wa fedha, na kutunza kumbukumbu |
Kuweza kujua kuandaa maandiko ya miradi |
Kujua utawala bora na uandaaji mipango mikakati |
kujua uendeshaji na usiamizi wa asasi |
Kuondoa tofauti za kijinsia |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Viongozi kutopatiwa mafunzo | Mara kwa mara |
Viongozi kutopatiwa semina | Mara kwa mara |
Viongozi kutokuwa na ukaribu na viongozi wa asasi zingine | Mara kwa mara |
Viongozi kutokuwa na ukaribu na viongozi wa serikali | Mara kwa mara |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Mahusiano ni kuwa uamuzi na asasi nyingine katika kupanga mipango ya maendeleo ma mazingira | Tumeshirikiana kufanya andiko la mazingira |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Kutoa elimu ya ujasiliamali na mazingira | Elimu kwa wajasiliamali | Elimu ya maziingira | Elimu ya kuzuia maambukizi ya ukimwi na VVU |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 10 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 10 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 20 | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | 50 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 30 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 80 | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | 20 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 10 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 30 | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | 40 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 40 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 80 | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | 40 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 50 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 90 | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | 5 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 5 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 10 | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | 70 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 50 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 120 | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 0 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 0 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 0 | (Hakuna jibu) |
HAKUNA
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Semina | Novemba 2010 | Kuandaa miradi | Kushirikisha jamii kuandaa miradi |
Viambatanisho
« Rudi nyuma kwenye ripoti