| Respondent: | Journalists Environment and (HIV)Aids Network |
|---|---|
| Time Submitted: | 30 Januari, 2012 18:40 EAT |
bughudadi chini
tunahitaji chakula na pesa
kiukweli vitu vyetu vyote vimeharibika sana
maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu
kwa kweli hatuna maji kabisa
| Kabla ya mafuriko: kawaida | Sasa: kawaida |
(Hakuna jibu)
« Rudi nyuma kwenye ripoti