Msaada
Kutumia Envaya kupitia Simu
Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu ifuatayo chini itaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili.
Iliyotangulia: Kubadili Mipangilio ya Akaunti yako