Utamaduni huu unasaidia kuimarisha afya za wazee wetu pia ni burudani na kivutio kikubwa cha utalii.
ELIMISHA: Inaendelea kutambua utamaduni wa asili na kupromoti kama moja ya vivutio vya utalii.
Mtendaji mkuu wa shirika la ELIMISHA Bw. Festo Sikagonamo akielimisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha Lukasi wilayani Rungwe, kuhusu uhifadhi wa mazingira na ujasiriamali.
Hizi ni baadhi ya kazi za shirika la ELIMISHA katika ufikishaji elimu kwa jamii.
Tatizo la maji linachangia kuathiri shughuli za uzalishaji hasa kwa wanawake.
Waandishi wa habari mkoani Mbeya wakijadili changamoto za wananchi wanaoishi pembezoni vijijini, wakati wa ziara yao ya Chunya, ambako walikaa siku tatu wakiishi katika mahema.
Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mlima wa Kawetere, wakitokea Lupatingatinga wilayanI Chunya.
ELIMISHA: Inaendelea kutambua na kuthamini mchango mkubwa wa wazee.i