Envaya
/elimishatz/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Makazi/ama nyumba za mjini na vijijini ni tofauti.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Hizi ni baadhi ya kazi za shirika la ELIMISHA katika ufikishaji elimu kwa jamii.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Tatizo la maji linachangia kuathiri shughuli za uzalishaji hasa kwa wanawake.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Utamaduni huu unasaidia kuimarisha afya za wazee wetu pia ni burudani na kivutio kikubwa cha utalii.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Waandishi wa habari mkoani Mbeya wakijadili changamoto za wananchi wanaoishi pembezoni vijijini, wakati wa ziara yao ya Chunya, ambako walikaa siku tatu wakiishi katika mahema.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mtendaji mkuu wa shirika la ELIMISHA Bw. Festo Sikagonamo akielimisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha Lukasi wilayani Rungwe, kuhusu uhifadhi wa mazingira na ujasiriamali.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – ELIMISHA: Inaendelea kutambua utamaduni wa asili na kupromoti kama moja ya vivutio vya utalii.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mlima wa Kawetere, wakitokea Lupatingatinga wilayanI Chunya.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Maji bado ni changomoto kubwa vijiji.
(Bila tafsiri)
Hariri
ELIMISHA: Inaendelea kutambua na kuthamini mchango mkubwa wa wazee.i (image)
(Bila tafsiri)
Hariri