Envaya

KIKUNDI CHA ELIMIKA MUSOMA MJINI

MUKENDO BODI YA PAMBA,MUSOMA MJINI, Tanzania

kuelimisha jamii kuhusu utunzaji mazingira,kuanzisha na kuendeleza miradi midogomidogo,kuelimisha juu ya maswala yahusuyo  ukimwi,kutoa elimu juu ya maswala ya maendeleo na kujenga uwezo na kuelimisha jamii katika kutambua sera na sheria mbalimbali zinazolenga kupunguza umasikini na kulinda haki za binadamu

Mabadiliko Mapya
KIKUNDI CHA ELIMIKA MUSOMA MJINI imejiunga na Envaya.
20 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
MUKENDO BODI YA PAMBA, MUSOMA MJINI, Mara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu