Injira
Environment and Health Tanzania
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

18 Werurwe, 2016
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

Mkurugenzi wa EHETA -Hagulwa Balisidya akiwa na Baadhi ya Viongozi wa Kijiji cha Gunyoda kilichopo katika kata ya Gunyoda Wilayani Mbulu Mjini wakimsikiliza Mratibu wa mradi wa 'Wind energy my livelihood' Catheline Ramadhani akielezea wanakijiji hao shughuli za mradi huo unatekelezwa sasa katika kijijini Kwao.

mradi huu unatekelezwa kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia September 2015 - September 2016.

Mradi una lengo la kuinua uzalishaji wa chakula kupitia umwagiliaji kwa kutumia nishati ya Upepe.

Katika uhifadhi wa mazingira, EHETA inatarajia kupunguza mabadiliko ya tabia nchi hasa kupitia matumizi ya nishati jadidifu ya Upepe. Pia mradi utaimarisha uwezo wa jamii wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kutumia nishati hiyo.
18 Werurwe, 2016

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.