Log in
Chama cha waalimu kitengo cha wanawake-morogoro

Chama cha waalimu kitengo cha wanawake-morogoro

msamvu morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Nawakaribisha mkoani marafiki na wote mtakaotaka kufanya kazi nasi ambao ni wanawake walimu ambao tunaungana na wanawake wenzetu katika kujifunza, kuelimisha, na kupambana na umasikini. karibuni sana kwa taarifa na majarida.

Tunawaarifu kuwa mradi wa mwisho kuufanya ni wa The foundation for civil society ambao tuna watumia matukio ya picha za walimu vijijini. kiasi cha fedha zilikuwa milioni 5 tunawashukuru kwa kutupa ruzuku hiyo kwani elimu ya ukimwi iliwafikia TOT na itaendelea kutolewa kwa wenggine walimu mashuleni.
June 3, 2010
Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.