Injira
Chama cha waalimu kitengo cha wanawake-morogoro

msamvu morogoro, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

picha za semina ya ukimwi iliyofanyika morogoro mapema mwezi wa nne mwaka 2010 kwa ufadhili wa The foundation for civil society.

Nawakaribisha mkoani marafiki na wote mtakaotaka kufanya kazi nasi ambao ni wanawake walimu ambao tunaungana na wanawake wenzetu katika kujifunza, kuelimisha, na kupambana na umasikini. karibuni sana kwa taarifa na majarida.

Tunawaarifu kuwa mradi wa mwisho kuufanya ni wa The foundation for civil society ambao tuna watumia matukio ya picha za walimu vijijini. kiasi cha fedha zilikuwa milioni 5 tunawashukuru kwa kutupa ruzuku hiyo kwani elimu ya ukimwi iliwafikia TOT na itaendelea kutolewa kwa wenggine walimu mashuleni.