Injira
COMMUNITY WATCH RUFIJI

COMMUNITY WATCH RUFIJI

Utete/ Rufiji, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

COMMUNITY WATCH RUFIJI
COWARU
KUJENGA UWEZO WA ASASI
FCS / RSG /1/11/184
Dates: SEPTEMBA15, 2011Quarter(s): DESEMBA 15
JINA: EDWARD RUGYENDO
MAWASILIANO: P.O.BOX 41, Utete / Rufiji.
SIMU YA KIGANJANI +255 767 143 053 , 0713 469 315, 0786 143 053
BARUA PEPE: cowarungo@yahoo.com

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Ili kuhakikisha mradi wetu unakidhi malengo ya eneo muhimu tulilochagua hapo juu, tuliendesha mafunzo ya siku 2 ya Uongozi na utawala bora kwa viongozi na wanachama. Mafunzo ya usimamizi wa fedhakwa siku 1. Kuandaa miongozo ya fedha za asasi. Kufanya mafunzo ya siku 3 ya kuandaa Mpango Mkakati.Kufanya warsha ya siku 2 kuandaa Mpango Mkakati na kufanya kiako cha siku 1 cha ufuatiliaji na tathimini ya mradi kwa jumla ya walengwa 20

Lengo kuu la mradi wetu ni kuimarisha uongozi na utawala bora kwa viongozi wa COWARU na wanachama wake Ili kuhakikisha asasi ya COWARU na wanachama wake inaongozwa na kuendeshwa kwa uwazi na ufanisi na viongozi wanaojiamini na wenye uwezo mkubwa wa utendaji wa kazi zao za kila siku wakizingatia na kufuata misingi mikuu ya utawala bora na demokrasia ili kuongeza tija, uwajibikaji ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kusimamia na kudhibiti rasilimali za asasi. Aidha kuwepo kwa Mpango mkakati kutasaidia asasi kutimiza malengo yake kwa kufanya shughuli zake kwa ufanisi na muda maalumu. Kupata wafadhiliwa ndani na aje ni mojawapo ya faida ya uwepo wa mkakati unaotekelezeka

Mradi huu utachangia moja kwa moja katika moja ya malengo ya serikali juu ya mapambano ya UKIMWI kuwa” Tanzania bila UKUMWI inawezekana! na ile ya taifa ya milenia ya kuwa na utawala bora na uwajibikaji nchini kwa kuwa na viongozi wanaowajibika kwa lengo la kudumisha amani,heshima, uaminifu, usawa, uhusishwaji na ushirikishwaji, kwa lengo la kumkomboa mnyonge masikini ,ambayo ndio misingi ya uongozi na utawala bora.

RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
PwaniRufijiUteteutete, Ikwiriri na Kibiti20
Kibiti
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female7(No Response)
Male13(No Response)
Total20(No Response)

Project Outputs and Activities

1.Ulewa wa wanachama kuhusu utawala bora na usimamizi wa shughuli za asasi kwa wanachama 20 umeongezeka ifikapo September 2011
2.Kuimarika kwa usimamizi wa fedha za asasi ifikapo September 2011
3 .0 Kuwepo kwa Mpango Mkakati wa Asasi ifikapo September 2011

1.1 Mafunzo ya utawala bora wanachama 20 kwa siku 2 ifikapo September 2011 .
2.Kufanya mafunzo ya usimamizi wa fedha kwa wanachama 20 kwa siku 1 ifikapo September 2011.
3 Kuandaa miongozi ya fedha kwa asasi kwa mafinzo siku 1 wato 20
4. Kufanya mafunzo ya siku 3 ya kuandaa mipango mkakati kwa wanachamana viongozi 20
5. Kufanya warsha ya siku 2 kuandaa mpango mkakati kwa wancha na viongozi 20.



-Kufanyika kwa mafunzo ya utawala borasiku 2,
- Ukumbi wa Chekechea Utete, watu 20 wanachama na viongozi wa asasi tarehe 12 OktobaHadi 13 oktoba 2011
-Kuwepo kwa uelewa wa wa utawala bora na usimamizi wa shughuli za asasi.
Wanachama 20 wana uelewa wa usimamizi wa fedha.
Mafunzo yaliyofanyika Ukumbi wa Chekechea tarehe 14 Oktoba 2011.
Wanachama na viongozi 20 siku 1
1. Kufanya mafunzo ya siku 3 ya kuandaa mipango mkakati tarehe 17 Hadi 19 Oktoba 2011
Ukumbi wa Chekechea Kwa wanachama na viongozi 20
2. Kufanya warsha ya siku 2 kuandaa mpango mkakati. Ukumbi wa Chekechea tarehe 20 hadi 21 Oktoba 2011 kwa wanachama na viongozi 20.
Kuandaa tarifa ya utekelezaji na ya Mradi baada ya kufanya tathini ya mwisho.
Kufanya mkutano wa siku 1 kwa wanachama wadau na viongozi 5. Ukumbi Chekechea Utete
Tarehe 7 Novemba 2011.
Kununuliwa kwa laptop moja tare 12 Novemba 2011 DSM
Posho za mratibu na mweka hazina kulipwa kila mwezi




Shughuli zote za mafunzo na warsha zilifanyika kama ilivyopangwa
1. 582,000/=
2. 932,000/=
3.1,746,000/=
4.1,164,000=
5.99,000/=
6. 79,000/=
7.1,729,750/-

Project Outcomes and Impact

1. Ulewa wa wanachama kuhusu utawala bora na usimamizi wa shughuli za asasi kwa wanachama 20 umeongezeka ifikapo September 2011
2.Kuimarika kwa usimamizi wa fedha za asasi ifikapo September 2011
3. Kuwepo kwa mpango mkakati wa Asasi ifikapo September 2011


1. Kumekuwa na mshikamano miongoni mwa viongozi na wanachama baada ya mawasiliano yaliyokuwa ha yapo na sasa yapo. Pia migogoro kupungua.
1.2 Uhusishwaji na ushirikishwaji wa wanachama kwenye vikao mbalimbali kikatiba sasa unafanyika
2.2. Taarifa za mapato na matumizi ya fedha za asasi sasa zinasomwa kwenye vikao husika.
2.3 Kuwepo kwa mfumo na taratibu za uwekaji wa hesabu za asasi
2.4. Rasimu ya Mpango Mkakati umekuwepo sasa
1.Ushirikiano baina ya viongozi wa asasi , wadau na Viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali umeimarika kutokana na kuwashirikisha katika utekelezaji wa mradi huu.
2.Asasi ya COWARU ambapo hapo awali ilikuwa haiujulikani sana na viongozi wengi sasa inajulikana na wanatambua uwepo wake.
3.Asasi sasa inao uwezo wa kuandika michanganuo kwa wafadhili mbalimbali wadani na nje
Hakuna sababu zozote za tofauti ya mabadiliko bali mabadiliko haya chanya yamekuja kama yalivyopangwa baada ya viongozi na baadhi ya wanachama kupata mafunzo ya uongozi na utawala bora

Lessons Learned

Explanation
Katiba ya COWARU inamapungufu mengi makubwa hivyo ni vyema yafanyiwe mapitio upya kwa lengo la kufanya marekebisho ya msingi kukidhi yale yaliyobainika ni mapungufu na ni kikwazo kwa utekelezaji wa kazi za kila siku. Mfumo wa Uongozi haukupangiliwa sawasawa
Utawala bora kumbe ndiyo msigi mkuu wa kuwakomboa wanyonge kwa kuwa unaleta uwepo wa amani, uvumilivu afya njema kwa maendeloo ya mtu binafsi,asasi na taifa zima
Ili kuwa na ufanisi mkubwa ndani ya asasi haitoshi kuwa na miongozo wa fedha na Mpango mkakati peke yake bali kuna haja ya kuwa na viongozi waadilifu na wenye uwezo kitaaluma kuendesha asasi na kutafuta wafadhili pia
Kutokuwa na mpango mkakati awali kumeiifanya asasi kwenda bila mwelekeo mzuri kwani mpango mkakati huwa ndiyo dira kuu inayoonyesha mpangilio wa shughuli za asasi.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Matumizi ya power point yalishindikana kutokana na ukosefu wa umeme hivyo kuongeza gharama za uchapaji na uchapishaji .


Tulilazimika kutafuta sehemu yenye umeme na kuprint document zote zilizokuwa kwenye powerpoint .

Kutokana na baadhi ya wanachama kutoka mbali na Utete, vijijini usafiri wao ulikuwa mgumu kufika kwa wakati katika mafunzo kwa muda uliopangwa, washiriki walikuwa wakichelewa kufika kwa muda tuliopanga.


Tulilazimika kubadili Ratiba mara kwa mara kwa kusogeza mbele saa ya kuanza na ya kumaliza mafunzo pale ilipobidi ili kuweza kukamilisha yale yote yaliyokuwa yamepangwa kufundishwa kwa siku husika.



Bajeti kwa ajili ya washiriki ilikuwa ndogo kulingana na hali halisi kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha ambayo ilipelekea washiriki kulalamika kutokana na uhalisia wa gharama za maisha yalivyo kwa sasa.

Tulikabiliana nalo kwa uongozi kuwaeleza na kuwaomba washiriki kuwa na moyo wa kujitolea na kuyathamini mafunzo kwa kuwa mafunzo haya yalikua muhimu kwao binafsi na kwa mstakabali wa kazi zao katika asasi..

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Viongozi wa serikali za mitaa ,afisa maendeleo jamii na Mratibu wa Ukimwi wilaya Rufiji. Ofisi ya mkuu wa Wilaya na wadau wengine walialikwaTuliwashirikisha siku ya ufunguzi na ufungaji wa mafunzo na Kiongozi wa serikali Kaimu katibu Tawala- Rufiji Ndg. Sanga alikuwa mgeni rasimi katika hafla nzima, pia tulichukua fursa hii kuutambulisha mradi kwa viongozi wa serikali ambao alikuwa amefuatana nao.
Asasi ya RUDEI- Rufiji Development InitiativesWalitoa mwakilishi na alishiriki mafunzo haya kikamilifu na aliweza kuchangia uzoefu wa asasi yake katika maswala ya Utawala bora na Mkakati.
Asasi ya PAKAYAWaliwakilishwa katika mafuzo na kuandaa mpango mkakati.
LISA – Life Skills Association of FacilitatorsUwezeshaji Utawala bora, usimamizi wa fedha na kuandaa miongozo ya fedha.
Hamashauri wilaya Rufiji- Idara ya MipangoUwezeshaji Mafunzo na warsha ya Mpango Mkakati na kuandaa mpango huo wa miaka 3

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Mradi wetu ulikuwa ni wa robo moja hivyo hakukuwa na shughuli zilizobaki kwa ajili ya robo inayofuata isipokuwa shughuli za ufuatiliaji wa matokeo ya muda mrefu zitaendelea. Hata hivyo pamoja na hayo ilikubalika kwamba kwa kuwa hili tumekamilisha, mara baada ya The foundation kuridhia kufunga mradi huu, tupeleke maombi ya kuomba ufadhlii wa The Foundation kwa mradi mwingine.

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale3(No Response)
Male2(No Response)
Total5(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale4(No Response)
Male11(No Response)
Total15(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya Usimmizi wa Ruzuku (Manage Your Grant)

27thJune 1st July 2011 -Kusimamia miradi,
-Bao mantiki,
-Utunzaji wa vitabu vya mahesabu
-Jjinsi ya kuandaa ripoti ya fedha na ya utekelezaji.

TULIINGIA Mkataba na FCS na kupatiwa Ruzuku ndogo ya kutekeleza mradi kwa kipindi cha miezi 3 inayohusiana na riporti hii.

Attachments

(No Response)
« Inyuma

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.