Envaya

Afya ya Wanawake

COBIHESA Trust Fund (Dar es Salaam)
March 16, 2015 at 5:06 PM EAT

Wapendwa,

Sisi COBIHESA kwa kushirikiana na Shirika la Hesperian Health Guides la Marekani tungependa kujua iwapo rasilimali zinazotumika kwa lengo la  kuboresha afya ya wanawake katika ngazi ya jamii zinalenga vipaumbele. Je ni vipaumbele gani 4 juu ya afya ya wanawake katika ngazi ya jamii ambavyo vinapaswa kushughulikiwa kwanza ?


Add New Message

Invite people to participate