Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Toleo Jipya-Mahali Pasipo na Daktari

COBIHESA kwa kushirikiana na Hesperian Health Guides tunafurahi kukuletea mtandaoni sura za awali za Mwongozo maarufu juu ya afya ya jamii-Mahali Pasipo na Daktari ,Toleo jipya.

Unaweza kusoma au kupakua faili za sura zifuatazo kutoka mtandaoni kwa ajili ya manufaa yako au na ya jamii kwa ujumla:

Sura 26: Ujauzito na Kujifungua

Sura 27: Watoto wachanga na Unyonyeshaji

Sura 28: Kuwahudumia Watoto

Mahali Pasipo na Daktari hutumiwa sana na wafanyakazi wa afya, waelimishaji jamii, na wengine wanaojishughulisha na afya ya msingi. Pia ni nyenzo muhimu kwa afya ya kaya.

Tembelea: Hesperian.org/books-and-resources/resources-in-swahili/

22 Agosti, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.