FCS Narrative Report
Utangulizi
Chama cha Mazingira na Maendeleo kwa Umma Tanzania
cmmut
Uboreshaji wa Utunzaji wa Misitu na Vyanzo vya Maji Katika Milima ya Uluguru
FCS/MG/3//09/091
Tarehe: Juni,2011-Agosti 2011 | Kipindi cha Robo mwaka: Tatu |
Elibariki Kweka, S.L.P. 4070,Morogoro,Email elibarikikweka@yahoo.com,cmmut2005@yahoo.com
Maelezo ya Mradi
Sera
Kuhamasisha wananchi ili kuinua uelewa wao juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu na maendeleo yanayotokana na shughuli za uhifadhi ni maswala ya Sera. Mradi huu umelenga kutoa mafunzo kwa wananchi ili wawe na uelewa kwambakuhifadhi mazingira kutawaondoa wao katika umaskini uliotopea.
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Mvomero | Mlali na Doma | Doma,Kihondo,Msongozi,Mkata Melela | 60 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 25 | 2755 |
Wanaume | 35 | 3015 |
Jumla | 60 | 5770 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
1.Jamii ya watu wa Doma na mlali wanafahamu umuhimu wa uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa vyanzo vya maji.
Jamii imehamasika juu ya uhifadhi wa mazingira na utunzaji wa mazingira pamoja na matumizi ya nishati mbadala
Jamii imehamasika juu ya uhifadhi wa mazingira na utunzaji wa mazingira pamoja na matumizi ya nishati mbadala
Kufanya Tathmini Shirikishi ikiwahusisha watu 20 wakiwemo baadhi ya washiriki,viongozi wa kata na serikali za vijiji husika,maafisa ugani na viongozi wa dini.
Watu 20 wakiwemo viongozi wa kata, vijiji, baadhi ya washiriki katika semina/warsha,maafisa ugani na viongozi wa dini walikaa kwa siku tatu(3) katika kijiji cha Doma wakifanya tathmini ya mafunzo na midahalo iliyofanyika.Walitaka waone na kupata taarifa juu ya mabadiliko yeyote yaliyoonekana kwa wananchi kutokana na warsha/Semina/midahalo iliyofanyika miezi michache iliyopita.
N/A
Kiasi cha Shs.2,647,100 zilitumika katika shughuli hii.
Mafanikio au Matunda ya Mradi
1 Jamii ya watu wa kata za Doma na Mlali wanafahamu umuhimu wa utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji na kwamba viongozi wanaelewa wajibu wao katika swala hili.
Tathmini ilifanyika vizuri na kugundua kwamba watu wengi wamehamasika hasa kutokana na viongozi kuwa na mwamko katika swala zima la uhifadhi wa mazingira ambapo wanawahimiza watu katika sehemu zao kupanda miti na kuzuia ukataji miti hovyo na uchomaji moto.
Viongozi wanaonekana kuwa waelewa na wafuatiliaji wa shughuli za maendeleo
Kule tu kukaa pamoja na kila kiongozi kutoa taarifa ya kazi yake katika tathmini kama hii kunalazimisha kwa namna moja au nyingine viongozi kuwa na uelewa wa kitu anachotakiwa kukieleza mbele ya wenzake.
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Katika tathmini sisi kama CMMUT tumeona kuwa ni muhimu maana kila kiongozi kazi yake inawekwa wazi; na hivyo kuwafanya wawe makini katika kusimamia utekelezaji wa shughuli tulizokubaliana.Kwa hiyo tathmini ni muhimu kufanyika kwa kila mradi uliotekelezwa |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Kwa ujumla hukukuwa na changamoto |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Serikali viongozi wa dini na wanufaika | Kwa kuwa hawa ni viongozi kwenye sehemu husika wao ndiyo wasimamizi wa utekelezaji wa shughuli zote za maendeleo.Hivyo ilibidi tukutane pamoja kuangalia mafanikio yaani Tathmini ya utekelezaji wa shughuli tulizojipangia |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Kwa ujumla Shughuli muhimu itakayofanyika ni ufuatiliaji wa yale tuliyojipangia katika warsha--MONITORING | XXXXXXXXX | XXXXXXX | XXXXXX |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Takwimu hizi kmf.walemavu yaani viziwi,wasioona,albino na walemavu wa viungo ni vigumu sana kuzipata maana hata ofisi ya kata haina takwimu hizi Tutazamie katika sensa ijayo au CMMUT itafute utaratibu wa kufanya utafiti na kupta takwimu sahihi na muhimu kama hizi.
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Usimamizi wa Ruzuku | February,2010 | JInsi ya kujaza fomu ya maombio ya ruzuku kwa usahihi na usimamiozi wa miradi na fedha | Kusaini mkataba wa kupata ruzuku |