Shirika la kuendeleza ustawi wa jamii kiuchumi na kijamii, ambalo linajishughulisha na maswala ya kuendeleza Kilimo, Mifugo na ustawi wa jamii katika nyanja mbalimbali - zikiwemo huduma za maji, afya, elimu na huduma za uzalishaji/ kuongeza kipato katika kupambana na umaskini miongoni mwao
Mabadiliko Mapya
Community Empowerment and Development Organisation-[CEDO] imeumba ukurasa wa Miradi.
1.Livestock feeds production in Mpanda district – 2.Promotion of Animal Drawn Technologies for Weeding, Transportation and Conservation Agriculture in Mpanda District – 3.Promotion of Tractors’ use for all Farm Operations and Processing in... Soma zaidi
16 Mei, 2013
Community Empowerment and Development Organisation-[CEDO] imeumba ukurasa wa Historia.
Community Empowerment Development Organization yaani Shirika la kuendeleza ustawi wa jamii kiuchumi na kijamii, ambalo linajishughulisha na maswala ya kuendeleza Kilimo, Mifugo na ustawi wa jamii katika nyanja mbalimbali - zikiwemo huduma za maji, afya, elimu na huduma za uzalishaji/ kuongeza kipato katika kupambana na... Soma zaidi
16 Mei, 2013
Community Empowerment and Development Organisation-[CEDO] imejiunga na Envaya.
16 Mei, 2013
Sekta
Sehemu
MPANDA, Rukwa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu