Log in
community development planning project initiative

community development planning project initiative

makulu,Dodoma mjini, Tanzania

kupambana na umasikini wa mali na elimu,kupambana na kuzuia uharibifu wa mazingira,kutoa haki ya elimu ya uraia,haki ya watoto na walemavu kwa familia na kuthaminiwa na jamii,kuzui na kupambana na maambukizi ya ukimwi na HIV/ na pia kupambana kwa kukithiri kwa watoto wa mitaani na wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi ili kuondoa tatizo la ombaomba.
Latest Updates
community development planning project initiative added a News update.
leo ni siku nzuri kwa asasi yetu kwani tumejiunga na tovuti ya envaya – na tuna wakaribisha asasi nyingine kote nchini mkoa wa dodoma na katika asasi yetu pia.
June 4, 2010
community development planning project initiative joined Envaya.
June 4, 2010
Sectors
Location
makulu,Dodoma mjini, Dodoma, Tanzania
See nearby organizations