tumeanza kutoa elimu ya ujasiria mali katika vijiji vya ilkisongo na oldonyosapuk kutokana na hivi vijiji kuwa wakulima wa mboga mboga hivyo wakati wa msimu mboga nyipngi huharibika kutokana na mafuriko ya mboga.
16 Novemba, 2012