Envaya

CHAMA CHA MAENDELEO UPENDO

KIGOMA VIJIJINI, Tanzania

kusaidia watoto yatima na waishi katika mazingira magumu

kusaidia wakina mama wajane kw akuwajengea uwezo na kutetea haki zao kama wajane

kutoa elimu kwa jamii juu ya kijikinga na magonjwa yaukimwi,malaria na madawa ya kulevya na maswala yote yahusuyo afya

Mabadiliko Mapya
CHAMA CHA MAENDELEO UPENDO imeumba ukurasa wa Jitolee.
1.tunahitaji waalimu wa kujitolea kufundisha katika elimu ya ufundi stadi kwa vijana walio chini ya miaka kumi na nane(18) – 2.tunahitaji waalimu wa kufundisha kozi ya nursing kwa ngazi ya diploma – usafiri wa kwenda na kurudi kazini kila siku utawepo. na mahala pa kuishi kwa wale waliotoka mbali.... Soma zaidi
1 Juni, 2012
Sekta
Kilimo na mifugo, Elimu, Afya, Wanawake, Nyingine (mazingira na watoto)
Sehemu
KIGOMA VIJIJINI, Kigoma, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu