KENDELEZA NA KUSIMAMIA HARAKATI ZA DINI YA KIISLAM NYANJA ZOTE WILAYANI GAIRO
Mabadiliko Mapya

BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
KATIBU wa BAKWATA Wilaya Gairo mwenye Sweta akiwa na Eng. Nasoro Kindamba wakiwa katika harakati za kupima jengo la Shule katika mradi wa ujenzi wa Shule Kimashale Wilayani hapo. Aidha Katibu wa Wilaya anatoa wito kwa Wadau na Waislam wote kushiriki katika kuchangia ujenzi wa Shule Hiyo ya umma wa Kiislam. Ujenzi wa Shule ni... Soma zaidi
11 Julai, 2021
BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
UCHAGUZI MKUU BAKWATA , MRUMA ATEMA CHECHE – ... ... Soma zaidi
11 Januari, 2020

BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
ISLAMIC FUNDATION WAKABIDHI MSIKITI BAKWATA – Mwenyekiti wa tasisi ya The Islamic Foundation amekabidhi msikiti wa vibandani Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yalifanyika baada ya kukamilika kwa ujenzi huo na kufanyika ufunguzi rasmi wa msikiti huo uliopewa jina la Masjid Madina. akiongea mara baada ya ufunguzi... Soma zaidi
10 Januari, 2020

BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
MAADHIMISHO YA MAULID YA MTUME S.A.W 1349/2017 MKOA WA MOROGORO – Baraza kuu la Waislam Tanzania BAKWATA Wilaya ya Gairo tunawakaribisha katika maadhimisho ya mazazi ya Mtume Muhamad S.A.W yatakayo fanyika kimkoa katika Wilaya ya Gairo Kata ya Chakwale. Akiongea na waumini wa msikiti mkuu wa wilaya Katibu Wa BAKWATA... Soma zaidi
28 Novemba, 2017

BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
TAARIFA KWA WAISLAM WOTE – BAKWATA GAIRO, Tunapenda kwataarifu waislam wote ndani na nje ya nchi kuwa tumeanzisha ujenzi wa shule ya kiislam katika eneo la Chakwale, ujenzi unategemea nguvu za waislam mbalimbali, wafadhiri, kutoka ndani na nje ya nchi ili kufanikisha ujenzi huo. wewe kama... Soma zaidi
27 Novemba, 2017
BAKWATA WILAYA YA GAIRO imeongeza Habari.
Sheikh wa Wilaya Gairo akiwa na Mh Muft wa Tanzania alipo tembelea Wilayani Gairo nakuwaombea duwa wakazi wa Gairo Mh. Muft aliwaasa viongozi wa wilaya Gairo kuendana na kasi ya maendeleo iliyopo sasa na kuwaeleza kuwa wajitahidi kutafuta maeneo popote na kufanya uwekezaji hasa katika maeneo ya elimu na uchumi kwa ujimla... Soma zaidi
30 Novemba, 2016
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu
GAIRO, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu