Parts of this page are in Swahili. Edit translations
kikundi cha amkeni vijana(KIAVI) kesho kinakutana na wadau wa michezo wa wilaya ya magu mjini kwaajili ya kikao kilichoandaliwa na kiavi kwaajili ya kuanzisha umoja wa wanamazoezi ili kuwafanya vijana watumie muda wao kwenye mazoezi ili kujenga afya bora na pia kujikinga na magonjwa kama kisukari n.k.tunawakaribisha wadau wote kwa mchango.
February 4, 2012
Comments (1)