Envaya
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect
Majadiliano
Una maoni gani dhidi ya ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kingono(Ulawiti) kwa watoto wa kike na kiume, je adhabu zinazotolewa zinakidhi? nini kifanyike
(3)
Adhabu zinaweza zikasaidia japo pia kama ingewezekana kwaelimisha watu juu ya hivi vitu,ikiwa ni pamoja na madhara yake kwa wanaofanyiwa vitendo hivi,pia kwa wanaofanya vitendo hivi waelimishwe kuhusu njia nyingne wanazoweza kuzitumia kukidhi haja...
11 Julai, 2013 na Prisca edward
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya