Log in
ASASI YA KUHIFADHI MAZINGIRA  KIMANG'A ( AKUMAKI )

ASASI YA KUHIFADHI MAZINGIRA KIMANG'A ( AKUMAKI )

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

MVULE HUU UKO KATIKA NJIA YA TANGA KWENDA PANGANI MTI WENYE KUVUTIA NA KUPENDEZA KAMA UNAVU UONA VIZAZI VIJAVYO HAWATA UONA MTI MKUMBWA KAMA HUU

large.jpg

TUJIULIZE KUA MTI HUU KWAKUA UKO PEMBEZONI MWA SHAMBA LA KATANI NDIO SALAMA YAKE MVULE HUU KUPONA MPAKA LEO MUNGU HAUTUZE HIWE KIFUTIO CHA KIHISTORIA HAPA ULIPO

large.jpg

HILI NI SHINA LA MVULE HUU UNO UONA KATIKA PICHA AKUMAKI WATAJARIBU KUHUTETEA KAMA HITAWEZEKANA HATA NJIA KUJENGWA UKWEPWE UWE KAMA ULE WA MALIKIA MOSHI MJINI ENEO LA NJORO

large.jpg

UFUKWE WA BAHARI YA PANGANI WATU WAKIWA FURAHANI KWA SUKUKUU YA X MASS WAKIFURAHI WATOTO NA WATU WAZIMA KWA KUPUMZIKA UFUKWE UHU UNAITAJI KUSAFISHWA NA KUTUZWA

large.jpg

MWANA JAMII AKIYAFATA MAJI YA BAHARI KWA KUOGELEA

large.jpg

UTAZAMAPO PICHA TAZAMA HAPA MSITUNI PANA JENGO LA KIHISTORIA LA KATI YA MJERUMANI NA MWARABU KATIKA MJI WA PANGANI UPANDE WA BWENI NILA GOROFA MCHA MCHA YA KIUNGIO CHA MTO PANGANI NA BAHARI

large.jpg

UHU NI UFUKWE NA RASI YA KIKOKWE KATIKA BAHARI YA HINDI WILAYA PANGANI

large.jpg

HAPA WATU WAKO KATIKA KUSHEREKEA SIKUKUU YA X MASS MJINI PANGANI WENYEJI NA WAGENI KUTOKA MJI MINGINE

large.jpg

UHU NI MTO PANGANI UNAO TENGANISHA MJI WA PANGANI NA BWENI NYUMBA ZIKO BWENI KADOKADO YA MLIMA MASHADU NA MSITU WA MASHADU

large.jpg

HAPA DAU LIKITOKA UNGUJA LIKILETA MIZINGO NA KUCHUKUA MIZINGO MBALIMBALI KATIKA MJI WA PANGANI HAPA SASA LIMESHA HINGIA KATIKA MTO PANGANI NA KUFUNGA NAGA KASTAMU (FOROTHANI) KUSUBIRI UKANGUZA WA MAAFISI FOROZA