Changamoto zote nchini Tanzania Tukijitoa kikamilifu Kwa moyo mmoja na nia moja Tutatoboa si kwa maneno tu bali kwa vitendo.
Silaha nzuri ya mapambano yetu ni hii;- A. Kila mtu afanye pale anapoweza bila kutegea.
B. Nguvu zile za kulaumu tuelekeze kutekeleza kazi zetu. C. kila mtu na atende kwa moyo sikwa kusukumwa wala kulazimishwa.
April 20, 2017