Fungua
AntiPoverty and AIDS Organization

AntiPoverty and AIDS Organization

Morogoro, Tanzania

FCS Narrative Report

Utangulizi

Anti Poverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA ASASI KUANDIKA MIRADI
FCS/RSG/1/10/228
Tarehe: September 2011Kipindi cha Robo mwaka: !st Qrt
Stella Otto, S.L.P.468 Morogoro, stellaotto34@yahoo.com

Maelezo ya Mradi

Uimarishaji Asasi za Kiraia
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa Miradi. Uwzo wa shirika utakuwa umeongezeka juu ya jinsi ya kuandika michanganuo wa miradi


Morogoro Morogoro Kata 29 wanachama 22
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
MorogoroKata 29 zote za Manispaa ya MorogoroMorogoro wanachama 22
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake11Wanachama
Wanaume11Wanachama
Jumla228

Shughuli na Matokeo ya Mradi

Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya uandikaji wa mchanganuo wa miradi umeongezeka.
Mafunzo juu ya Uandikaji miradi ya Asasi ya jamii.
Idadi ya watu 22 wakiwemo wanachama na viongozi walifundishwa jinsi ya kuendesha ASASI katika njia ya kuibua na kuandika miradi warsha ya siku tano iliyofanyika katika ukumbi wa RED CROSS Morogoro.
Mradi wa mafunzo ulitekelezwa kama ulivyopangwa
Kiasi cha Tsh.1,664,000/= zilitimika kwa shughuli hii.

Mafanikio au Matunda ya Mradi

Uwezo wa Wana chama 22 juu ya kutayarisha uandikaji wa michanganuo ya miradi umeongezeka .
Matokeo yataonekana baada ya muda kidogo kupita.
Viongozi na wanachama wamepata elimu ya uibuaji na uandikaji miradi ambayo hawakuwa nayo lakini bado mapema kuona matokeo au mabadiliko.
Ratiba ilifuatwa

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Mafunzo juu ya uibuaji na uandikaji miradi kwa ajili ya Asasi ni jambo gumu kwa kila mwanachama kuelewa haraka hivyo inahitajika kurudia mafunzo haya mara kwa mara. Wana chama nao wanahitajika kufanya mazoezi kila wakati.

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Kwanza kabisa kulikuwa na mfumuko mkubwa wa bei ambao ungetufanya tushindwe kufikia malengo

Tulitumia michango ya wanachama ili kukabiliana na mfumuko huu wa bei.

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Serikali Kufungua mafunzo na mgeni mwalikwa kuturuhusu kufafanya mafunzo
CMMUT Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI
YDFKutoa mafunzo ya mazoezi

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Kutoa mafunzo juu ya utunzaji wa rasilimali za shirka na aina zakumbukumbu ya fedha na taratibu za manunuzi kuthibiti uharibifu na kuongeza uwajibikaji.October
Kundika taarifa ya mwishoOctober

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla0(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawakeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
WanaumeHakuna TaarifaHakuna Taarifa
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Taarifa hii haikuwa rahisi kupata

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
Usimamizi wa RuzukuFeb 2011Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabuTumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. Nov,2010 Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi
Utunzaji wa kumbukumbu za fedha
Feb,2011
Nov. 2010Utunzaji wa vitabu vya fedha Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi

Viambatanisho

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.