Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
AntiPoverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA ASASI
FCS/RSG/1/10/228
Dates: August (Monthly) | Quarter(s): (No Response) |
Stella Otto,S.L.P.468 Morogoro, stellaotto34@yahoo.com
Project Description
Civil Society Capacity Strengthening
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya dhana ya utawala bora na uendeshaji wa asasi tumekidhi maeneo tuliyochagua
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Morogoro | Kata 29 zote za Manispaa ya Morogoro | NIL | 22 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 11 | (No Response) |
Male | 11 | (No Response) |
Total | 22 | 0 |
Project Outputs and Activities
Uelewa wa viongozi na wanachama juu ya utawala bora umeongezeka
Mafunzo juu ya Uendeshaji wa Asasi na Utawala Bora
Idadi ya watu 22 wakiwemo wanachama na viongozi walifundishwa jinsi ya kuendesha ASASI katika njia ya utawala bora,warsha ya siku tano iliyofanyika katika ukumbi wa RED CROSS Morogoro.
Hakukuwa na tofauti yeyote iliyojitokeza katika utekelezaji
Kiasi cha Tsh.1,664,000/= zilitimika kwa shughuli hii.
Project Outcomes and Impact
Asasi imekuwa kutoka hatua ya chini hadi ya juu
Matokeo haya yataonekana baada ya warsha kufanyika na muda kidogo kupita
Viongozi na wanachama wamepata elimu ambayo hawakuwa nayo.
Hakuna tofauti
Lessons Learned
Explanation |
---|
Baada ya kupata mafunzo haya, wanachama na viongozi wamejua wajibu wao katika maendeleo ya Asasi. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Kwanza kabisa kulikuwa na mfumuko mkubwa wa bei ambao ungetufanya tushindwe kufikia malengo | Tulitumia michango ya wanachama ili kukabiliana na mfumuko huu wa bei. |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali | Kutupa kibali cha kuendesha mafunzo |
CMMUT | Walishiriki na walitoa mchango mkubwa katika uzoefu wa uendeshaji wa ASASI |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Mafunzo ya Uibuaji na uandikaji wa miradi kwa viongozi na wanachama | Septemba |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) |
Kwa wakati huu ni vigumu kupata takwimu sahihi. Tutakapoanza utekelezaji wa mpango mkakati wa ASASI wa miaka 5 tutawezakupata takwimu hizi zote.
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Jinsi ya kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya hesabu. | Nov,2010 | Uendeshaji wa miradi na utunzaji wa vitabu vya hesabu | Tumefungua vitabu vyote vya utunzaji wa kumbukumbu za Asasi |
Utunzaji wa kumbukumbu za fedha | F eb,2011 | Utunzaji wa vitabu vya fedha | ,, |