Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

BUNGE LINAFUNGWA LEO NINI TUMEJIFUNZA KATIKA BUNGE HILI KAMA WANACHI WA KAWAIDA

ZOE EDUCATION PROMOTION OPPORTUNITY
August 16, 2012 at 8:22 PM EAT

Nadhani wote mtakubalina na mimi kwamba leo bunge la Tanzania linahairishwa.Na najua wote mnajua kuwa bunge hili lilikuwa na mjadala juu ya bajeti na mipango mizima ya maendeleo swali ni je mwananchi wa kawaida ameguswa?kivipi?


Add New Message (Hide)

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.