Fungua
Youth Development Association

Youth Development Association

Missenyi, Tanzania

Ndugu Wana Envaya na wanachama,

 

Nimefurahia huduma hii ya Envaya, nimeanza kujaza na kuweka nyaraka zote muhimu za Asasi ya YODA. Nitakuwa nina update kila mara nitakapo pata habari mpya.

16 Januari, 2012

Maoni (1)

Huu ni mwaka wa UN Youth Desk kwa ajili ya mjadala wa nafasi ya vijana katika nafasi za uongozi katika Taasisi ya UN. Tujadili mada hii na tuone katika maeneo yetu, vijana wana nafasi zipi katika vikao vya maamuzi?
16 Januari, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.