Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
YOCOSO imeanza utekelezaji wa mradi wa UFUATILIAJI WA RASILIMALI ZA UMA SEKTA YA MAJI (PETS) katika wilaya ya Moshi. shughuli katika picha ni utambulisho wa mradi kwa wadau.
17 Kanama, 2017