Fungua
Youth Control Society ( YOCOSO)

Youth Control Society ( YOCOSO)

Njoro ward, Moshi - Kilimanjaro, Tanzania

Youth Control Society sasa inaendesha mradi wa kuelimisha vijana kuacha kutumia dawa za kulevya katika kata nane za manispaa ya Moshi mjini ambazo ni Njoro, Msaranga, Karanga,Pasua, Kaloleni, Rau, Kiboriloni na Majengo. Mradi huu unaanza tarehe 1/10/2012 hadi tarehe 1/1/2013.

4 Oktoba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Youth Control Society (Njoro Ward - Moshi) alisema:
kuwa na jamii ya vijana wasiotumia dawa za kulevya inawezekana.
'' CHUKUA HATUA''
4 Oktoba, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.