Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

large.jpg

In school health club program

Kwa sasa Asasi ya YOCOSO inatalajia kuanza utekelezaji wa mradi wa PETS katika maji katika wilaya ya Moshi vijijini. Mradi huu umefadhiliwa na Foundation for Civil Society - FCS , na  unakusudiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwezi wa nane hadi mwezi wa kumi na mbili 2017.

Pamoja na utekelezaji wa mradi huo, pia asasi ya YOCOSO inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kuendesha club za afya katika shule mbili za Moshi vijijini na tatu za Moshi mjini ambazo ni Pasua, Njoro, Chemchem, Mrupanga na Mawela.

 

large.jpg

Youth discussion activities implemented by YOCOSO through AMKA project. here youth are getting soft drinks after discussion cunducted at Pasua Ward.

large.jpg

Peer Educator Kasimu shaban making youth discussion in Majengo Ward.

large.jpg

Group discussion in the drug users training. Participants have to make discussion and present to others what they have discussed in groups.

large.jpg

Participants getting tee at the training of drug users.

large.jpg

Some of Participants in drug users training.

large.jpg

YOCOSO in the matching with other NGO's in Moshi - Kilimanjaro to the AIDS day event.

large.jpg

Participants making presentation during drug users training which conducted for six days.

large.jpg

Drug users training. Facilitator John Mbando talking with participants.