Log in
Watoto Yatima na Elimu Tanzania (WAYETA)

Watoto Yatima na Elimu Tanzania (WAYETA)

Buguruni-Ilala, Dar es Salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Dependency

Felix Sweetbert (Dar es Salaam)
October 6, 2011 at 4:49 PM EAT

Poverty can be alleveated is the matter of decisions only.

MTWARA YOUTH POVERTY FIGHTERS GROUP (MTWARA MJINI)
November 10, 2011 at 11:55 AM EAT (edited March 26, 2012 at 8:07 AM EAT)

@Felix Sweetbert (Dar es Salaam): 

Felix, Unasema kweli lakini nani afanye uamizi na lini.

Hebu tuwe watu wa vitendo zaidi kuliko maneno. tutafute elimu ya kweli inayo tusaidia kukabili changamoto za maisha, elimu ya kujitegemea. Tuachane na elimu ya kibepari inayolenga kuendeleza unyonyaji

Felix M. Sweetbert (DAR ES SALAAM)
November 18, 2011 at 3:51 PM EAT (edited March 26, 2012 at 8:07 AM EAT)

Sisi kama asasi tumeanza kuchukua uamuzi wa kupambana na umasikini na tunawakaribisha wafuasi wa kutuunga mkono katika harakati hizi. @MTWARA YOUTH POVERTY FIGHTERS GROUP (MTWARA MJINI): 


Add New Message

Invite people to participate