Parts of this page are in Swahili. Edit translations
DIRA(VISION)
JAMII ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA
DHAMIRA(MISSION)
KUTOA ELIMU KWA JAMII YA WATANZANIA JUU YA MAMBO YA KIMAENDELEO
KUHAKIKISHA TUNAKUWA NA JAMII INAYOJITAMBUA
KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO ITOKAYO KWA WAFADHIRI KWENDA KWA JAMII YA WATU WA CHINI
KUIWAKILISHA JAMII KATIKA MASWALA YAHUSUYO MAENDELEO
KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUHAKIKISHA TUNAKUZA ELIMU YA UFAHAMU WA MAMBO MAMBALI MBALI
MADHUMUNI
-
KUJENGA SHULE NA VYUO ILI KUJENGA UWEZO WA VIJANA WETU KIMWILI NA KIAKILI
-
KUUNGANISHA NGUVU YA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO KWA JAMII
-
KUWAPA HUDUMA ZA KIJAMII YATIMA NA WASIOJIWEZA
-
KUSHIRIKI KATIKA KUKUZA UMOJA NA MAENDELEO NDANI NA NJE YA NCHI
-
KUSHIRIKIANA NA TAASISI NYINGINE ZA KIDINI NA NG'Os MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI KATIKA KULETA MAENDELEO KWA JAMII
IDARA:
IDARA YA: UCHUMI IDARA YA: FEDHA
IDARA YA: MIPANGO IDARA YA: VIJANA
IDARA YA: WANAWAKE
IDARA YA: MAHUSIANO NA USTAWI WA JAMII
-
ORODHA YA WANACHAMA
Latest Updates
THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) updated its Home page.
DIRA(VISION) – JAMII ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA ... Read more
March 22, 2013

THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) added a News update.
KUTOKA KUSHOTO NI YAZIDU OMARI JAMBIA SHEIKH WA KATA YA VUGA AKIWA NA MWENYEKITI WA KITUO OFISI YA VUGA HASSAN HUSEIN SHESHEMNYIKA WAKIKAGUA BARABARA INAYOPITA KATIKA ENEO LA WAISLAAM WA VUGA LINALOTARAJIWA KUJENGWA SHULE YA AWALI,HADI KIDATO CHA 6. Read more
March 19, 2013

THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) added 7 News updates.
WANACHAMA WA TAASISI YA THE VUGA ISLAMIC CENTRE WAKIWA KATIKA MKUTANO WA PAMOJA WAKIJADILIANA JUU YA UJENZI WA SHULE YA AWALI NA KIDATO CHA 5, WAKIWA KATIKA UKUMBI WA AL-HARAMAIN KARIAKOO DAR-ES-SALAAM.. Read more
March 13, 2013

THE VUGA ISLAMIC CENTRE(VICE) added 7 News updates.
WAISLAAM WA VUGA KINA MAMA NA WANA MADRASA WAKIWA KATIKA BARAZA LA IDD LA UHAMASISHAJI UJENZI WA SHULE YA KIDATO CHA 5 NA 6 VUGA MGHAMBOI, ILIOFANYIKA VIWANJA VYA MSIKITI WA VUGA Read more
March 12, 2013
Sectors
Location
LUSHOTO, Tanga, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations