Girls with active listening when analyzing and discussing Girls challenges especially for those are not in schools
Facilitators for STEMMCO university helping girls to identify their challenges in this center
We would like to inform all Girls that we are now requesting more volunteer for out of school youth.
We would like to inform our partiners and people who wish to support our project that we have done quite a lot this year in our Home based care project or House to house project. This is due to the support or contributions we had received from our friends Philip and Jasmin who are young volunteers from German. For more information read our narrative report attached here.
Deo Makoti
COORDINATOR-VOYOHEDE
Napenda kuwapa taarifa kuwa kwa sasa tumepata Volutia watatu, nao ni Switbet Msoga, Suzan Mhagama na Saida Ausi. Hawa ni wanataaluma na kwa hivyo tutakuwa na project zetu zote na kila mmoja atafanya kazi katika eneo lake. Kwa sasa wapo katika Orientationtukimaliza shughuli hiyo tutawatangazia nani atakuwa katika nafasi gani.
Deo Makoti
MRATIBU-VOYOHEDE
Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu kuwa ofisi zetu sasa zimehamia mtaa wa skoya katika jengo la Halmashauri ya manispaa zilipo ofisi za mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali MTWANGONET tunawakaribisha wote, kazi zinaendelea na harakati zinaendelea.
"Vulunteering first"
TUNAPENDA KUTOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI NA MAFANIKIO YA MRADI WA UMESE ULIOTEKELEZWA HIVI KARIBUNI MKOANI MTWARA. TUNAOMBA UZOEFU NA MAONI YENU KATIKA TAARIFA HII ILI TUWEZE KUFANYA MABORESHO KATIKA AWAMU IJAYO YA UTEKELEZAJI WA MRADI HUU. TAZAMA KIAMBATANISHO CHA TAARIFA YA MAFANIKIO YA MRADI PAMOJA NA PICHA ZA MATUKIO
Napenda kuwapa taarifa kuwa ule mradi wa utetezi, tumesha kwisha saini mkataba na hivi sasa tunasubiri pesa hizo kuingizwa katika akaunti yetu, mradi huu utatekelezwa katika kata ya Majengo shule ya sekondari umoja, tunaomba sana uvumilivu wenu kwani wafadhili nao wanatafuta pesa ni imani yetu kuwa zitakapo patikana mradi huu utaanza mara moja.
Pia kuna kazi za kujitolea ambazo zinaendelea Mtwara na Dar es salaam, kazi hizi ni muhimu sana kwani ni sera ya shirika letu kujitolea na kufanya kazi wakati wote hata kama hakuna mfadhili. Pamoja na taarifa hizi za miradi kwenu naambatanisha ripoti ya semina ya ujasiliamali iliyofanyika hivi karibuni Tabata kisukuru na ni matumaini yetu kuwa ripoti hii kwa wadau itaamsha ari na moyo wa kuyafanya haya Mtwara.
Wenu katika Kazi.
Deo Makoti
MKURUGENZI
VOYOHEDE-TANZANIA.