Kuwafikia wananchi walio katika mazingira magumu ili kuwapa elimu ya mazingira kwa ujumla wake na kurudisha uoto wa asili, Jambo muhimu ni kuhakikisha kuwa kila kaya inapata uhakika wa chakula, pamoja na mbinu za uvunaji wa maji ya mvua ili walio katika mazingira ya ukame wapate maji kwa matumizi yao ya kila siku. Uanzishwaji wa vitalu vya miche ya miti, ikiwa ni ya asili pamoja na ya matunda.
Mabadiliko Mapya
UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA imeongeza Habari.
Tumekuwa na mikakati ya kubadilisha mazingira hasa katika maeneo ya miinuko, hali ambayo itaweza kusaidia mabadiliko ya tabia ya nchi, ni pamoja na vyanzo vya maji katika milima yote inayoizunguka mji wa arusha, Jambo hili linahitaji kupata ufadhili wa nguvu kazi pamoja na pesa za kuwezesha kufikia lengo lililokusudiwa. – Tunaomba... Soma zaidi
10 Julai, 2015
UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA imejiunga na Envaya.
7 Juni, 2015
Sekta
Sehemu
Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu