Fungua
Tanzania Women of Action(Tawa)

Tanzania Women of Action(Tawa)

Dar es salaam, Tanzania

  5}Vyanzo vya ubora wa maji kwenu yamepata  athari gani kutokana na mafuriko?

   Athari ni kubwa zinazotokana na mafuriko kwani maji tunayotumia ni ya visima hivyo kutokana na kubomoka kwa vyoo maji tunayotumai siyo salama kwa matumizi ya binadamu .vilevle tuko mabondeni hivyo maji machafu yanayotoka meaneo yaliyo kwenye miinuko na majalala ya kiholela uchanganyikana na maji tunayotumia,Hivyo hatuna jinsi ukizingatia maji ni uhai kwa binadamu tunalazimika kuyatumia wakati tunajua yana mdhara makubwa  kwetu kumekuwepo pia ugumu wa upatikanaji wa maji kwani visima vingi vimegeuka kuwa mashimo ya takataka

6}Kama una kazi unachukua muda gani  kutoka nyumnani mpaka ofisini?

  Ninatumai muda mfupi kufika kazini kwani nafanya biashara ya mama lishe iliyopo karibu na maeneo haya,ni kama dakika 10 tu.

 

 

6]Kama una kazi inakuchukua muda gani kufika ofisini

 

 

27 Januari, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (3)

Tanzania Women of Action(Tawa) (Kinondoni Hananasifu ) alisema:
Suala la maji na vyoo katika eneo hili linaonekana ni tatizo na hatarishi kwa maisha ya wakazi hawa ,hivyo msaada wa haraka unahitajika.
27 Januari, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Kinondoni Hananasifu ) alisema:
Serikali ijiahidi kuliangalia suala la maji kama Dawasco wameshindwa,hivyo kuwepo njia mbadala ili kunusuru maisha ya watu hawa dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza kutokana na hali hii.
27 Januari, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Kinondoni Hananasifu ) alisema:
Suala la miundo mbinu eneo hili linatakiwa kupewa kipau mele ili kuepukana na mafuriko vile vile kuwatengea maeneo mbadala ya kuishi kama ilivyo mabwepande kwa wahanga wengine wa wilaya ya kinondoni na Ilala ituimike pia na kwa wahanga hawa wa Temeke
27 Januari, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.