Log in
Tanzania Women of Action(Tawa)

Tanzania Women of Action(Tawa)

Dar es salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

November 13, 2012
« Previous Next »

Comments (4)

Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) said:
Malawi katika kujali afya za wanawake hasa wale wanofanya biashara ya ngono (sex workes)wameamua kusajili vyama vyao ili waweze kuatambulika kitaifa ili mambukizi ya ukimwi yapungue.Tunawapongeza kwa juhudi hizo.
November 13, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) said:
Hivyo basi ni vyema kwa Tanzania kwa kutumia sera ya ukimwi ya mwaka 2010 ambayo iliyainisha makundi hatarishi wasichana /wanawake wanaofanya biashara ya ngono likiwa ni miongoni mwao,(key populations)ni vyema kuwasajili kihalali ili kazi zao zitambulike kisheria ili maambukizi mapya ya ukimwi yapungue.
November 13, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) said:
Itambulike kuwa kuhalalishwa kwa biashara yoyote inayofanywa kinyemela ni kuipungizia soko,hivyo kuhalalishwa kwa biashara ya ngono kutaipunguzia thamani kwani ni watu wengi wanaofanya biashara hii bila kutaka wajulikane.
November 13, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) said:
Biashara ya ngono (sex work)ikihalalishwa ni dhahili kuwa wengi wataikimbia kwa kuogopa kujulikana hata wanunuzi pia watona aibu kwenda kununua kwani wateja wa kubwa wa biashara hii ni wana ndoa Kwa kufanya hivyo biashara hii itakosa mwelekeo na maambukizi ya ukimwi yatapungua.
November 13, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.