Katika utafiti Tunaoendelea kuufanya ,tumegundua masuala mbali mbali katika kundi la wanawake walioko pembezoni na kugundua kuwa ,ili wanawake tuweze kushika hatamu na kuleta mabadiliko ya kweli ni lazima tuyajumuishe makundi ya wanawake yaliyoko pembezoni.
28 Julai, 2012
Maoni (2)
Nawapongeza Tawa kwa kusema ukweli kwani makundi mnayoyataja yapo lakini watanzania tunajifanya hatuyajui.