Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tawa kwa kushirikiana na TGNP na International Human Rights Watch kwapamoja tunameungana kufanya utafiti katika makundi ya wasichana wanaofanya biashara ya ngono na pia wanawake wanao fanya mapenzi ya jinsia moja.Zoezi hili litaanza siku ya j nne tarehe 24 julai 2012.Tunatarajia kufanya mahojiano na makundi husika ili tuangalie ukubwa wa tatizo na jinsi gani ya kukabiliana nalo
July 20, 2012
Comments (2)