Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tawa inaendelea na mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi kwa wasichana wanaofanya biashara ya ngono kwa kuawelimisha matumizi sahihi ya kondom ya kike (Lady pepeta) na kuzisambaza ili walengwa wasipate maambukizi mapya ya ukimwi.Tumeamua kutoa elimu hii katika mkoa wa Dar es salaam na wilaya zake ili kunusuru kundi hili ambalo linazidi kuongezeka siku hadi siku.Kampeni hii imeanza Mkoa huu na baadae itaendelea Tanzania nzima katika mikoa inayoonekana ni tishio kwa maambukizi ya ukmwi kama vile Iringa,Mbeya, Arusha ,Mwanza na mikoa mingine
July 19, 2012
Comments (1)