Envaya

large.jpg

28 Machi, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) alisema:
Baadhi ya wanachama wa Tawa wakijadiliana kuhusiana na kauli mbiu ya mwaka huu ya ushirikishwaji wa mtoto wa kike ni chachu ya maendeleo
31 Machi, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) alisema:
Watoto wa kike wathaminiwe na kupewa kipaumbele kuanzaia katika ngazi ya familia.Hii itampa nafasi mtoto wa kike kusoma na sio kufanyakazi za nyumbani peke yake wakati mtoto wa kiume akithaminiwa kama baba mtarajiwa wa familia na kutowajibika na shughuli za nyumbani
2 Aprili, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.