Log in
Tanzania Women of Action(Tawa)

Tanzania Women of Action(Tawa)

Dar es salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Dar es Salaam Flooding Community Survey

keko mwnga A
Vifusi vya kuinua maeneo yetu,Mfereji mkubwa wa kutoka darajani mpaka keko chini utengenezwe kwa kuwekewa makaravati , kuta au nyumba zilizojengwa kando kando ya mfereji mkubwa zibomolewe na watu wapewe maeneo.
Vitanda, magodoro ,deepfreezer 2 za biashara , tv,radio friji,kabati 2 la vyombo na nguo,
nguo za familia ya watu 7 zimepotea, ukuta wa nyumba umeathirika kwa maji yaliyo dumu kwa siku 20.pesa taslim laki mbili za karo ya shule ya mtoto wangu kupotea
kuathiri watoto wangu kielimu kwa kuwachelewesha shule kutokana na kukosa pesa ya kununua vifaa vya shule na vitu vingine muhimu,magonjwa ya mlipuko pamoja na maralia , uchumi wangu kushuka ,kukosa vifaa muhimu ndani,
mabomba yote yaliyokuwa eneo hili yalisombwa na maji ,visima vingi vilibomoka na kuruhusu maji taka kuingia,wanaokaa maeneo ya juu walifungulia na kutapisha vyoo vyao hivyo kuingiliana na visima vyetu
Before flooding: masaa 2Now: masaa2
(No Response)
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.